top of page

MICHEZO IKISHA TUTARUDI NYIMBANI

Siku moja mama alituma mtoto yake kununua chakula. Alimpatia na sufuria kuweka chakula ndani. Mtoto alienda kununua chakula na alianza kuenda kwenye nyumba yake. Kwenye njia yake ali pata Rafiki zake wakicheza na mpira. Alianza kucheza na Rafiki zake. Aliacha chakula yenye ilikuwa kwenye sufuria na watu yenye hakukua anajua.   muda wa kurudi nyumbani ilikuwa imefika. Mtoto alipata kama chakula yenye alinunua ilikulwa na ilimalizwa. Alitembea kama analia. Alijua mama yake atamchapa. Alirudi nyumbai na akachapwa na mama yake

Nathaniel Namoma, mwaka wa sita Lorikeet 
0 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page