top of page

Shule Yetu Nzuri Ya Taibah

Jina langu ni Eliana Agaba na Rafiki wangu Ileana Sanyu. Sote tuna miaka kumi na moja na tunasomea kwa Shule ya kimataifa ya Taibah-Msingi. Wasomi wa gezeti letu tunataka kawambia kuhusu mambo mazuri kwa shule yetu. Katika Taibah tuna walimu wazuri sana na masomo mazuri kama vile; Kiswahili, Hisabati, Kingereza, Mziki, Sayansi na masomo ya Jamii. Tunapenda teknologia kwa Taibah kwasababu tunatumia simu kufanya utafiti. Kwa Taibah tunafanya shughuli nyinyi kama; kuogelea, kucheza mziki, kupika na kuchora picha. Tunawaomba kuleta Watoto wenu hapa kwa shule yetu nzuri ya Taibah.

Asante sana.

Eliana na Iliana, P.5 Cardinal

1 view0 comments

Recent Posts

See All
bottom of page